JE WAIJUA MIPIRA ITAKAYOTUMIKA BRAZIL 2014? TWENZETUUUU................
Tazama mipira hii alimaaarufuu kama BRAZUCA ndio itakayotumika kwenye mashindani ya kombe la dunia mwakani mchini Brazili ikiwa imetengenezwa na kampuni ya Adidas iliyoshinda zabuni ya kuandaa mipira ya mashindano yote ya FIFA kwa miaka 4
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni