Alhamisi, 14 Novemba 2013

HUU NI UCHAMBUZI WA GWIJI WA ZAMANI WA NIGERIA SUDAY OLISEH JUU YA NANI BORA KATI YA MESSI NA RONALDO



Kama  unakabiliwa na uchaguzi,juu, ya nani anastahili kuwa  wa Mchezaji bora wa  Dunia  wa Mwaka,kati nyota hawa wawili Cristiano Ronaldo na Lionel Messi wewe unadhani ni nani anayestaili tuzo hiyoo? Kumekuwa na utata mkali sana kuhusiana na wachezaji hawa bora zaidi kwa sasa ulimwenguni utajaribu  kutathmini uwezo wao katika idara kadhaa ya mchezo.


Je? Lionel Messi amepoteza sifa za kuwania tuzo ya mchezaji bora wa dunia mwaka huu?

Je? Cristiano Ronaldo Amefanya yanayostaili kushinda tuzo hiyo mwaka huu kutokana na kiwango chake?


Tafadhali kumbuka maneno muhimu hapa. Sisi tunatathmini sifa zao ndani ya uwanja wa mpira-kuhusiana utendaji, na siinje ya uwanja ubishi au hisia.
  

KASI YA MPIRA 
  
Messi:- Katika utawala wa koch Pep Guardiola Messi alikuwa ni mchezaji mwenye kasi zaidi ambaye sijawahi mwona anapokuwa na mpira kwenye miguu yake ni mwepesi wa kukimbia anapokuwa na mpira vile vile asipokuwa nao ni mwepesi wa kufika maeneo mpira ulipo. Messi amekuwa akizinyanyasa safu mbalimbali za mabeki pindi anapokuwa na mpira vile vile kupiga chenga pale anapokuwa na mpira na kwa kasi ile ile 


Ronaldo:- ukitaka kujua Ronaldo yupo kasi kiasi gani ni vema atazamwe akiwa anacheza uwanjani huwa anakimbia kwa kasi ya ajabu ambayo huwaacha mabeki wa timu pinzani wasijue nin cha kufanya. Pamoja na hayo Ronaldo anahitaji nafasi anapokuwa uwanjani ili aonyeshe kasi yake tofauti na Messi ambaye wakati wowote anaweza kufanya tukio lolote. Vile vile  Ronaldo ni mrefu kuliko Messi jambo ambalo humwongezea kasi.  


NAFASI YA ULINZI

Kwa soka la kisasa linamtaka kila mchezaji awapo uwanjani asaidiane na safu ya kiungo pamoja na beki ili kuimarisha usalama wa timu.

 Mara nyingi Messi amekuwa ni mchezaji hatari tu pale anapokwenda kushambulia na si kufanya ulinzi kwa timu ya ke hususani kurudi hadi nusu ya eneo la timu yake . ila inaeleweka kwamba Barcelona wanamiliki mpira kiasi cha asilimia 65 hivyo mara nyingi haimuhitaji messi kurudi kusaidia kwenye ulinzi wakati timu inashambuliwa

Kwa namna Ronaldo anvyosaidia safu yake ya ulinzi katika klabu ya Real Madrid inavutia kwa sababu si tu anarudi hadi eneo la timu  yake bali hurudi kuzuia faulo na mipira mingine ya adhabu kama kona. Kusaidia kwake kukaba kwa nguvu ni sababu tosha inayomtofautisha na mpinzani wake kwasababu Ronaldo hupata Kadi za njano sana

UPIGAJI WA MASHUTI LANGONI MWA ADUI

Ronaldo ni nzuri katika idara hii yeye hupiga  mashuti, ambapo mpira inakuwa na speed ajabu lakini ufanisi huu huwachanganya sana  makipa. Kila msimu, yeye uwa anafunga magoli hayo kutoka umbali mkubwa na zoezi hili hulifanya kwa ufanisi mkubwa kwa kutumia miguu yote miwili.

Messi yeye hupendelea kuachia mashuti makali karibu na lango pia hutegemeana na ni kwa jinsi gani nafasi imepatikana kitu ambacho hakionyeshi uhalisia wa uwezo alio nao.
Mara nyingine tena tahadhari lazima kutekelezwa hapa kama mtindo wa Barcelona kucheza ya "Tiki Taka" hivyo humfanya mesi afunge magoli akiwa umbali mdogo

UMILIKAJI MPIRA NA MBINU BINAFSI


Kama duniani kungekuwa na wachezaji wenye sifa ya kuwa na sifa ya umilikaji wa mpira wa miguu basi hao si wengine bali ni Cristiano Ronaldo na Lionel Messi

Ronaldo anaonekana kuwa ni mchezaji ambaye anaweza kuuamrisha mpira ukafuata anachotaka yeye hata baadhi ya video zake kwenye mtandao wa  You Tube zinadhihirisha hilo

Messi anautaalamu pale anapokuwa anamiliki mpira kwenye miguu yake anaweza kikimbia kitoka upande mmoja kwenda mwingine na kuwapita walinzi hata mahali ambapo hapatarajiwi yeye kupita.

UTIMAMU WA MWILI

Lionel Messi aliwahi kucheza mechi  25 za Barcelona bila kukosa hata moja hiyo yote isisaidiwa na utimamu wa mwili (physical fitness ) itimamu wake wa mwili ulimsaidia kupambana na majeraha kidogo aliyokuwa anakumbana nayo kutoka kwa walinzi wa timu fulani.

Cristiano Ronaldo ni hivyo hivyo yeye anafaa kwamba yeye anafaa kwaajili ya matangazo ya  chupi na inajulikana kuwa mpenda vimwana sana ingawa, kutokana na sura yake ya kuvutia, wakosoaji kushindwa kuona au kukubali kwamba yeye pengine ni mchezaji aliefit zaidi katka dunia ya leo.

MAGOLI


2013   takwimu za mabao ni wazi zinaegemea upande wa Ronaldo. Messi imejitahidi kukaa vizuri kutokana na ya kifundo cha bega  nimeongeza na, kama vile, yeye amekosa michezo muhimu mwaka huu. Ronaldo bado hasakosa mchezo kutokana na majeruhi.

MCHEZAJI WA TIMU

katika hali ya kawaida Messi huonekana yupo kitimu zaidi hata akifunga goli hushangilia na wezake zaidi ya Ronaldo ambaye yeye yuko kibinafsi zaidi.
Ni vigumu kujua kwamba Messi anacheza kwenye timu ambayo wachezaji wote macho yao yameelekezwa kwake na ndio sababu kubwa ya kushangilia huku akiwashukuru wezake AU ni sabau inayomfanya Ronaldo ajihisi yupo peke yake maana hufunga baadhi ya magoli bila msaada wa wenzake?

Ni vigumu kung'amua swali hili.

MSHINDI

Kwa maoni yangu nadhani Frank Ribery ndiee mchezaji bora na aliyekamilika kwa kila kitu sasa hapa duniani

Je? Unadhani anastahili tuzo hii?

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni