Ni wakati mwingine tena kwa wapenzi wa kandanda barani ulaya wiki ijayo hususani katika michuano yo ligi ya mabingwa ulaya maarufu kama UEFA CHAMPIONS LEAGUE ambabo vigogog mbalimbali vitakwaana katika kusaka points tatu muhimu ili kujiimarisha kwenye misimamo yao katika makundi ikiwamo ni pamoja na wengine kutafuta points za kwanza katika mashindano hayo na hiii ndiyo yratiba ya wiki ijayo......................................................................
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni