Alhamisi, 5 Desemba 2013

RAISI WA TFF ALITOLEA UFAFANUZI SUALA LA MGOGORO WA KLABU YA SIMBA NA HATUA ZITAKAZOCHUKULIWA BAADA YA SIKU 14 KUISHA

Rais wa TFF, Jamal Malinzi ameutolea ufafanuzi mgogoro wa Simba unaoendelea hivi sasa baada ya mwenyekiti wa Simba Ismail Aden rage kupinga agizo la kuitisha mkutano wa wanachama ndani ya siku 14 ambazo zinaisha Desemba 6. Malinzi ametaja hatua zitakazochukuliwa pale siku hizo zitakapoisha. Tazama video hii kufahamu zaidi                       
                      

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni